Blog

Mother with Newborn, attended through Beacon Emergency Dispatch

Childbirth on the Football Pitch

Affiliation
Mwanza, Tanzania

The mother started to get labor pains at 1am. Her husband was traveling so she went to the neighbors to get help and they accompanied to walk to the taxi stand but she could not get make because the pain was too much and they stopped at the football pitch. The man went to get help, but when he got back she had already delivered – the cord was being cut but the placenta had not delivered and she was bleeding heavily. “Maybe that was my day to die,” she said she was thinking. One of the boda boda drivers passed by and stopped, and he sent a text for help and the fire department came to transport.

Mnamo saa saba usiku,Mama mjamzito alianza kuhisi uchungu wa kujifungua. Mume wake alikuwa amesafiri hivyo ikabidi aende kwa majirani ili kutafuta msaada wa kwenda kutafuta taxi ya kumpeleka hospitali lakini hakuweza kutokana na kuzidiwa uchungu na kushindwa kutembea ilibidi wamkalishe kwenye kiti kilichokuwa katika uwanja wa mpira. Jirani aliekua akimsaidia alienda kutafuta msaada na hatimae aliporudi akakuta yule mama tayari kajifungua pale pale kwenye kiti, kitovu kilikuwa kishakatwa lakini kondo la nyuma lilikuwa bado halijatoka na damu ilikua inatoka sana.”Labda siku ile ilikuwa siku yangu ya kufa” yule mama alisema. Mmoja kati ya waendesha boda boda ambaye ni mtoa huduma ya kwanza aliekua akipita, alisimama na kupiga simu kituo cha zima moto na hatimae gari lilifika na kuwapeleka hospitali yeye pamoja na mwanae.

Beacon Logotype

Beacon emergency dispatch is a cloud-based, do-it-yourself platform for emergency services that alerts, coordinates and tracks prehospital personnel using any mobile phone, with or without internet.

Scroll to Top